Waziri
Mkuu, Mizengo PInda akizindua Mradi wa MPesa Women Empowerment
Initiative (MWEI) kwenye kijiji cha Buigiri Chamwino Dodoma , JUlai 23,
2011. Wapili kushoto ni Murugenzi Mtendaji wa VODACOM, Bw. Dietiof Mare.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalikmiana na baadhi ya wanawake walionufaika na
\mikoko iliyotolewa na Mfuko wa VODACOM FOUNDATION baada ya uzinduzi wa
Mradi wa MPesa Women Empowerment Initiative (MWEI) kwenye kijiji cha
Buigiri, Chamwino Dodoma, Julai 23, 2011. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji
wa VODACOM, Bw. Dietiof Mare.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)