Kabla ya kazi rasmi kuanza hapo nilikuwa nikipata
taswira za ukumbusho
Tukiwa na nyuso
za furaha wadau na wahitimu kutoka university of wales tukijiachia kwa raha zetu
kabla ya sherehe kuanza.
Sherehe
haikamiliki bila ya misosi,hapo wadau wakijiachia kwa misosi kwani ilikuwepo ya
kumwaga
Huyu ndiye
aliyekuwa kinara wakati wa mapambano yetu Mr Anand Walser course
Adiminstrator,hapo alikuwa akitoa statistics za jumla na pia kutupa wosia vijana
wake.
Picha ya pamoja
baadhi ya wadau tuliohudhulia mnuso wa kujipongeza kwa mafanikio makubwa
tuliyoyapata...
Kwa niaba ya
wenzangu wote naomba kuchukua nafasi hii kuwashukuru walimu wetu pamoja na
wafanyakazi wote wa London School of Commerce pamoja na University of Wales
instituty of cardif kwa kazi yao nzuri na pia kujitoa kutusaidia hadi hapa
tulipofika,,,Mungu na awabariki sana na kuwatia nguvu zaidi..Picha Na Mbeya Yetu Blogu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)