VODACOM MISS LAKE ZONE KUFANYIKIA LEO NDANI YA MELI JIJINI MWANZA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VODACOM MISS LAKE ZONE KUFANYIKIA LEO NDANI YA MELI JIJINI MWANZA

Warembo wa Vodacom miss lake zone wakiwa wajipanga kwaajili ya picha ya pamoja katika uzinduzi wa eneo husika ambapo mtanange huo utakapofanyika siku ya jumamosi.
Second ofisa wa meli ya Victoria Godifrey Kalikayo akitoa maelezo kwa washiriki wa miss lake zone walipotembelea meli hiyo kujionea utendaji kazi.Baada ya kuzunguka na kuishuhudia jiografia melini humo warembo hao walipata fursa ya kupata chakula cha mchana.
Hizi ni safari za mwisho mwisho kwa warembo hao kuelekea siku ya jumamosi tupate kushuhudia kinyang'anyiro cha kumsaka Mnyange wa Miss lake Zone atakaye jumuika na washiriki wenzake toka kundini kwenye Miss Tanzania baadaye mwaka huu.
Warembo wakipata misosi mchana wa jana

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages