Wafanyakazi wa kiwanda cha kuzalisha soda cha Coca Cola
Kwanza, kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam, wakiwa katika mgomo
wao jana asubuhi. Wafanyakazi hao waligoma wakishinikiza uongozi wa
Kiwanda hicho uwaongezee mishahara.
Baadhi ya wafanyakazi wakiongea na waandishi wa habari.
Kiongozi
wa TUICO alifika kuwatuliza wafanyakazi hao na kuahidi kuzungumza na
Menejimenti ya Kiwanda hicho.Mpaka majira ya saa sita mchana jaan,mgomo
ulikuwa unaendelea na Uongozi wa kiwanda hicho ulikataa kuzungumza
chochote na waandishi wa habari.Picha zote na Victor Makinda
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)