Godzilla amewapagawisha wakazi wa mkoa wa Dodoma kwa kiwango kikubwa
ambapo karibu muda wote akiwa jukwaani, mashabiki walikuwa wakipunga
mikono yao juu juu kuashiria kumkubali msanii huio mwenye sauti kali
kwenye kipaza sauti.
Msanii miwingine ambaye ametisha sana leo katika tamasha hilo la
Serengeti Fiesta ni Belle9 ambaye aliwaimbisha mashabiki muda wote akiwa
jukwaani.
Source: JOHN BUKUKU - FULL SHANGWE BLOGU





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)