Mwendelezo
wa Msimu wa Dhahabu na Serengeti Fiesta tayari umepamba moto katika
uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya, ambapo wasanii mbalimbali tayari
wameshapanda jukwaani huku wengine wakijiandaa kufanya mambo makubwa
katika jukwaa la Serengeti Fiesta jioni ya leo, Hapa anaonekana mwimbaji wa
muziki wa Hiphop Prof. Jay akiimba nyimbo zake, kama vilee piga makofi
katika tamasha hilo llililovutia watu wengi.
Watu wengi wanaonekana kuwa wenye furaha na wanaojisikia Majotroo
kwelikweli katika tamasha hilo linalodhaminiwa na kampuni ya bia ya
Serengeti SBL, kwani wamekuwa na mzuka wa kweli wakati wote wa tamasha
hilo
Profesa Jay akiimba na mmoja wa mashabiki wake aliyemuita jukwaani ili kumpa tafu katika moja ya nyimbo zake.
MwanaFA akiimbisha mashabiki wake katika tamasha la Serengeti Fiesta uwanja wa Sokoine jijini Mbeya jioni ya leo
Hapa katika picha msanii Belle9 anaonekana akipagawisha mashabiki wake
jukwaani kwa nyimbo zake nzuri zinazopendwa na mashabiki wake.
lama wa mashabiki pamoja na wasanii.
kionyesha uwezo wao mbele ya mashabiki wao.
Picha Na John Bukuku - Full Shangwe Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)