MBUNGE WA MBEYA MH JOSEPH MBILINYI ALIPOKAMWATA NA KUWEKWA RUMANDE NA HATIMAYE YUPO NJE KWA DHAMANA NA TAMASHA LAKE LAPIGWA STOP - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MBUNGE WA MBEYA MH JOSEPH MBILINYI ALIPOKAMWATA NA KUWEKWA RUMANDE NA HATIMAYE YUPO NJE KWA DHAMANA NA TAMASHA LAKE LAPIGWA STOP

Mh Joseph Mbilinyi akiwa na wafuasi wake  katika moja ya mikutano yake
Kamanda wa Polisi Mkoa WaMbeya Advocate Nyombi Akisisitiza kuwa sheria itachukua mkondo wake kwa sasa wanamhoji Mh, Mbunge  na taratibu zote za dhamana zipo wazi 
Usiku wa jana Baada ya Muheshimiwa Joseph Mbilinyi kukamatwa
 
Mh Joseph Mbilinyi akiwa nje ya kituo cha polisi mbeya mara baada ya kuachiwa huru

Mh Sugu akihojiwa na waandishi wa habari hapo kituoni mara baada ya kutolewa
Mh Sugu akiondoka kituo cha polisi mbeya habari ya bonanza la sugu ambalo lilikua lifanyike leo kwenye viwanja vya Luanda nzovwe limesimamisha kwa sababu halina kibali  habari zaidi juu ya bonanza hilo tutawaletea baadae Picha Na Mbeya Yetu Blog 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages