Kipa namba moja Fatuma Omary yeye anapenda kujiita (Juma Kaseja)
Baadhi ya wachezaji wakiwa uwanja wa ndege baada ya kuwasili
Twiga Stars wakiwa na Ngao waliopata baada ya kuibuka timu bora
Timu ya Twiga Stars
imerudi nyumbani ikiwa imeshika nafasi ya tatu baada ya kuifunga timu ya
MALAWI magoli tatu kwa bila.
Picha Na Jane John Blogu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)