Rais
Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Jackob Zuma wa Afrika
ya Kusini wakigonga glasi wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na
Rais Zuma kwa heshima yake wakati wa kilele cha Ziara Rasmi ya siku
mbili nchini humo
Rais
Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika viwanja vya
kumbukumbu ya mshujaa waliopigania uhuru wa Afrika ya Kusini nje kidogo
ya jiji la Pretoria jana. Wapili kushoto ni Mama Salma Kikwete na
watatu kulia ni mwenyeji wake Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini.Rais
Kikwete yupo nchini Afrika ya Kusini kwa Ziara rasmi ya Kitaifa ya
Siku mbili.Picha na Freddy Maro-IKULU





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)