Danny
Mwakiteleko (kulia) akiwa katika picha pamoja na wanachama wenzake wa Jukwaa la
Wahariri pamoja na waandishi wa habari wa mkoani Arusha hivi
karibuni.
Danny
Mwakiteleko huenda hiki ndio kilikuwa cheti chake cha mwisho kupokea hapa
duniani na aliyebahatika kumkabidhi cheti hicho ni Mkurugenzi wa Mahusiano wa
Kampuni ya Bia Serengeti Teddy Mapunda.
Hii
ilikuwa siku ya mwisho ya Mkutano wa Jukwaa la Wahariri mjini
Arusha, Julai
16,2011.Wengine katika picha hiyo ni Mwenyekiti Absalom Kibanda (kushoto) Salim
Said Salim na Neville Meena Katibu wa Jukwaa.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)