P.O. Box 259
DODOMA, TANZANIA
Simu: +255-026-2323001 Nukushi:+255-026-2310011 BARUA PEPE: vc@udom.ac.tz
Wavuti : www.udom.ac.tz
DODOMA, TANZANIA
Simu: +255-026-2323001 Nukushi:+255-026-2310011 BARUA PEPE: vc@udom.ac.tz
Wavuti : www.udom.ac.tz
TAARIFA KWA WANAFUNZI WOTE WA SHAHADA ZA AWALI WA CHUO CHA SAYANSI ZA KOMPYUTA, TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO CHUO KIKUU CHA DODOMA
WANAFUNZI WOTE WA SHAHADA ZA AWALI WA CHUO CHA SAYANSI ZA KOMPYUTA, TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO WALIOSIMAMISHWA MASOMO WANAJULISHWA KWAMBA WANATAKIWA KURUDI CHUONI NA KUFANYA USAJILI UPYA KAMA IFUATAVYO:-
WANAFUNZI WOTE WA SHAHADA ZA AWALI WA CHUO CHA SAYANSI ZA KOMPYUTA, TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO WALIOSIMAMISHWA MASOMO WANAJULISHWA KWAMBA WANATAKIWA KURUDI CHUONI NA KUFANYA USAJILI UPYA KAMA IFUATAVYO:-
MAHALI UWANJA WA MICHEZO WA JAMHURI, MJINI DODOMA
WANAFUNZI WANAFUNZI WOTE WA SHAHADA ZA AWALI
HUSIKA
HUSIKA
SIKU JUMATANO
TAREHE 27/7/2011
MUDA WA SAA 2 ASUBUHI
KUANZA
KUANZA
MUDA WA SAA 10 JIONI
KUMALIZA
KUMALIZA
- WANAFUNZI AMBAO WANADAIWA ADA, GHARAMA ZA MALAZI,
- MITIHANI NA GHARAMA NYINGINE NI LAZIMA WALIPE MADENI HAYO KABLA YA KURUDI CHUONI.
- · PIA KILA MWANAFUNZI ANATAKIWA KULIPA GHARAMA ZA USAJILI KIASI CHA SHILINGI 10,000/=.
- MALIPO YOTE YAFANYIKE KABLA YA TAREHE 23/7/2011 KUPITIA AKAUNTI ZILIZOPO BENKI YA CRDB TAWI LA CHUO KIKUU CHA DODOMA KAMA IFUATAVYO:
ADA: 01J1082344900
MALAZI NA GHARAMA NYINGINE: 01J1083343300
GHARAMA ZA USAJILI: 0150221567400
- KILA MWANAFUNZI NI LAZIMA AKAAPE KWA WAKILI KIAPO CHA UTII WA SHERIA NDOGONDOGO ZA WANAFUNZI ZA CHUO KIKUU CHA DODOMA, SHERIA ZA CHUO KIKUU CHA DODOMA NA ZA NCHI.
- KIAPO KIBANDIKWE PICHA MBILI (2) ZA ‘PASSPORT SIZE’. MOJA YA MZAZI/MLEZI WA MWANAFUNZI NA MOJA YA MWANAFUNZI. MUHUSIKA.
- MWANAFUNZI ATAKAYEKIUKA KIAPO CHAKE ATAFUKUZWA CHUO MARA MOJA.
- KILA MWANAFUNZI ANATAKIWA KUJA NA NAKALA HALISI ZA VITHIBITISHO VYA MALIPO YOTE YA ADA NA GHARAMA NYINGINE KUANZIA ALIPOANZA MASOMO. PIA NI LAZIMA AJE NA KITHIBITISHO CHA KIAPO CHA UTII.
- MWANAFUNZI AMBAYE HATATIMIZA MASHARTI HAYA HATAPOKELEWA CHUONI.
- MASOMO YATAANZA JUMATATU TAREHE 01/08/2011.
WANAFUNZI WAFUATAO HAWATAKIWI KURUDI CHUONI MPAKA WATAKAPOPEWA TAARIFA ZAO BINAFSI NA MAMLAKA HUSIKA
1 KYAMBO, Erneus Me T/UDOM/2009/07876 BSc. CS 2
2 KAJUNA, Chrianus Me T/UDOM/2009/08482 BSc. TE 2
3 ELIAS, Jackson Me T/UDOM/2009/07644 BSc. BI 2
4 GODREY, Godson Me T/UDOM/2009/08030 BSc. SE 2
5 MAKONO, Bakari M. Me T/UDOM/2009/07887 BSc. CS 2
6 KALUGIRA, Edger Me T/UDOM/2008/03881 BSc. IS 3
7 MUNAKU, Joseph Me T/UDOM/2008/06335 BSc. IS 3
8 MARCUS, John Me T/UDOM/2009/07690 BSc. CS 2
9 MUHARANGO, Magohu Me T/UDOM/2008/02034 BSc. CS 3
10 SAFARI, Lamsi Me T/UDOM/2010/00236 BSc.CE 1
11 GABRIEL, Perfect Me T/UDOM/2010/00395 BSc.IS 1
12 NTAMBI, Peter W.M. Me T/UDOM/2010/00228 BSc. CE 1
13 KALIMWENJUMA, Dismas R. Me T/UDOM/2010/00190 BSc. CE 1
14 CHISALUNI, Tobias M. Me T/UDOM/2010/00167 BSc. CE 1
15 LUCHELA, Issa H. Me T/UDOM/2010/00202 BSc. CE 1
16 LAMECK, Charles N. Me T/UDOM/2010/00200 BSc. CE 1
17 MSUYA, Amani M. Me T/UDOM/2010/00316 BSc. TE 1
18 FESTO, Hezron Me T/UDOM/2009/07736 BSc. IS 2
19 TELESPHORY, Goodluck Me T/UDOM/2009/08020 BSc. TE 2
20 ROBERT, Anthony Me T/UDOM/2009/08010 BSc. TE 2
21 MVUNGI, Joel Me T/UDOM/2009/07804 BSc. IS 2
22 ISEME, Buyegi L. Me T/UDOM/2008/01998 BSc. CS 3
23 BARUHUWUNDI, Pius Me T/UDOM/2008/03919 BSc. IS 3
24 KALABAMU, Liberatus Me T/UDOM/2008/03344 BSc. CS 3
25 SABUNI, Joseph Me T/UDOM/2008/03734 BSc. CS 3
26 MINJAS, Denis Me T/UDOM/2008/06331 BSc. IS 3
27 CHRIZOSTOM,
Thermistocles
Me T/UDOM/2008/06274 BSc. IS 3
28 DAVID, Senkoro Me T/UDOM/2008/06386 BSc. IS 3
29 MSHANGA, Joseph A. Me T/UDOM/2009/07695 BSc. CE 2
30 NADE, Edmund Me T/UDOM/2010/00325 BSc. TE 1
31 MBAGO, Hatibu Me T/UDOM/2009/07893 BSc. CS 2
32 MWACHA, Mohamed Me T/UDOM/2009/07699 BSc. CE 2
33 KAYOMBO, Bruno V. Me T/UDOM/2010/00107 BSc. SE 1
34 MABENA, Odilo Me T/UDOM/2009/08040 BSc. SE 2
35 BENJAMINI, Erasto Me T/UDOM/2010/05547 BSc. IS 1
36 MTEKETA, Novatus Me T/UDOM/2010/00425 BSc. IS 1
37 LUCAS, Alexander Me T/UDOM/2009/08513 BSc. IS 2
38 MMBAGA, Alfredy Me T/UDOM/2009/07793 BSc. IS 2
39 ERNEST, Patrick Me T/UDOM/2009/07856 BSc. CS 2
40 PARMAR, Nirav S. Me T/UDOM/2010/00380 BSc. HIS 1
41 MAKUKE, Masinde P. Me T/UDOM/2010/00130 BSc. IS 1
42 MWANDUMBYA,
Martin J.
Me T/UDOM/2008/07356 BSc. IS 3
43 MSANGA, Donard Me T/UDOM/2009/08051 BSc. SE 2
44 MESHACK, Mliwa Me T/UDOM/2009/08048 BSc. SE 2
45 MAFURU, Alphonce Me T/UDOM/2010/00030 BSc. CS 1
46 ELIESKIA, W. Msuya Me T/UDOM/2010/00116 BSc. SE 1
47 ROBERT, Anthony Me T/UDOM/2009/08010 BSc. TE 2
48 ANOLD, Chao K. Me T/UDOM/2010/00163 BSc. CE 1
49 MWAKATIMA, Wilson
Y.
Me T/UDOM/2009/07700 BSc. CE 2
50 JOSEPH, Japhet M. Me T/UDOM/2010/00182 BSc. CE 1
51 MSECHU, Julius J. Me T/UDOM/2008/0335 BSc. CS 3
52 MWAMBIJE, Nsubili Me T/UDOM/2010/00220 BSc. CE 1
53 BRITISH, Frank Me T/UDOM/2009/07666 BSc. CE 2
54 MADAI, Ali J. Me T/UDOM/2009/07974 BSc. TE 2
55 MIKONGOLO, Rajabu H. Me T/UDOM/2010/00142 BSc. IS 1
56 KALABAMU, Victor N. Me T/UDOM/2009/07749 BSc. IS 2
IMETOLEWA NA OFISI YA MAKAMU MKUU WA CHUO
CHUO KIKUU CHA DODOMA
TAREHE 18/07/2011





Mungu tubariki watoto wa informatics, tunafukuzwa na watawala kwa wao kutumia maneno ya kuambiwa kama kigezo.
ReplyDeleteHaki zetu zinadhurumiwa,tukidai tunaonekana wakorofi, oush!
poleni sana jamani hayo ndo maisha wadogo zangu cha msingi someni ili nanyi baadaye muweze kutumi fursa hizo kufisadi kwani Tanzania bila ufisadi haiwezekani
ReplyDeleteWaswahili wanasema"iga ufe" na fikiri kabla kutenda"
ReplyDeleteFor the innocent, his or her right is just there, it will only be delayed and not removed.
ReplyDeletepoa selikari
ReplyDeleteNapinga sana kwa mtu anayesema Tanzania bila ufisadi haiwezekani na mtu huyo hatufai ktk nchi yetu maana kama kwasasa kila lawama mnatupia serikali na nyinyi mnajiandaa kufisadi! you might be out of mind. Watanzania tusi danganyike vijana tukiamua tunaweza kutokomeza ufisadi watendeeni wengine mpendavyo kutendewa ninyi, acha imani potofu badili mtazamoooooooooooooooo......................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteok tumezipata taarifa zenu
ReplyDeleteHaya mashkaji lakini vepe bum.......
ReplyDeleteTanzania hakuna amani ubahili na kuonewa ndo kumekisiri!!
ReplyDelete