Waziri Wa Elimu Na Mafunzo ya Udundi Stadi Amesema Serikali Imekubali Kuongeza Pesa ya Kujikimu Kwa Wanafunzi Wa Elimu Ya Juu Nchini Ambapo Awali Ilikua Ni Shilingi 5000/= na serikali imeongeza shilingi 2500/= ambapo jumla itakua ni Shiling 7500/= Kwa Siku.
Waziri Amesema Hayo Bungeni Leo Asubuhi Wakati akisoma Bajeti Ya Wizara yake ya Mwaka 2011/2012 Ambapo Wanafunzi Wa Elimu Ya Juu Wataongezewa Pesa Kwa Muhula Mpya Wa Masomo Unaotarajiwa Kuanza Mwezi Oktoba Mwaka Huu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)