Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda akitoa
heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Luhama Chonya ambaye ni bibi
mzaa mama wa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Job Ndugai ,ambaye ni ndiye aliyemlea Naibu Spika huyo katika mazishi
yaliyofanyika leo kijijini Ibwaga, wilayani Kongwa ,Dodoma.
Kiongozi
wa Kambi ya Upinzani bungeni katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Freeman Mbowe akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa
marehemu Luhama Chonya ambaye ni bibi mzaa mama wa Naibu Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ,ambaye ni ndiye
aliyemlea Naibu Spika huyo katika mazishi yaliyofanyika leo kijijini
Ibwaga, wilayani Kongwa ,Dodoma.
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akiwa
na mkewe Dk. Fatuma akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu
Luhama Chonya ambaye ni bibi mzaa mama,ambaye ni ndiye aliyemlea
Naibu Spika huyo katika mazishi yaliyofanyika leo kijijini Ibwaga,
wilayani Kongwa ,Dodoma.
Mke
wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, mama Tunu Pinda akiweka shada la maua
kwenye kaburi la marehemu Luhama Chonya ambaye ni bibi mzaa mama wa
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Job Ndugai,
pia ndiye aliyemlea Naibu Spika huyo katika mazishi yaliyofanyika
leo(jana) kijijini Ibwaga, wilayani Kongwa ,Dodoma.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)