Mwanamuziki Ludacriss wa kimataifa kutoka nchini Marekani akifanya vitu
vyake kwenye tamasha la mwendelezo wa msimu wa dhahabu na Serengeti
Fiesta, linaloendelea usiku huu katika viwanja vya Leaders Kinondoni
umati mkubwa wa watu umeingia katika tamasha hilo na watu wengine
wanaendelea kuingia katika viwanja vya Leaders
Mwanamuziki huyo ameonekana kuwachanganya mashabiki wake kutokana na
mashabiki hao kuonyesha kufurahishwa na muziki wa msanii huyo kutoka
Marekani, huku wakipiga mayowe na kunyoosha mikono yao juu juu, kama
ishara ya kuunga mkono kila alichokuwa akikifanya jukwaani mwanamuziki
Ludacriss.
ikati akiwa na wasanii wenzake kutoka THT.
mbalimbali katika tamasha hilo.






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)