RAISI KIKWETE ALIPOTEMBELEA BANDA LA TWIGA BANCORP KATIKA VIWANJA VYA SABASABA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI KIKWETE ALIPOTEMBELEA BANDA LA TWIGA BANCORP KATIKA VIWANJA VYA SABASABA

Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Ofisa Mtendaji Mkuu wa Twiga Bancorp Hussein Mbululo (kulia) baada ya Rais kupata maelezo kuhusiana na huduma za Beki hiyo ambayo inamilikiwa na serikali. Rais Kikwete alitembelea banda la Twiga Bancorp wakati wa ziara yake ya kukagua maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Mpigapicha wetu).
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Twiga Bancorp wakati alipotembelea banda la Benki hiyo leo katika viwanja vya maonesho ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam.Nyuma ya Rais ni Ofisa mtendaji Mkuu wa Twiga Bancorp Hussein Mbululo. (Picha na Mpigapicha wetu).
Rais Jakaya Kikwete akiangalia mkanda wa kipindi maalum cha shughuli mbalimbali za Twiga Bancorp baada ya kukabidhiwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Beki hiyo Hussein Mbululo (kulia) wakati alipotembelea banda la Benki hiyo leo katika viwanja vya maonesho ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam. (Picha na Mpigapicha wetu).
Source: John Bukuku - Full Shangwe Blogu 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages