MZEE
Ramadhani Chagaka akisomewa gazeti na Mtoto wake Rukia Ramadhani
(10)mwanafunzi wa darassa la tano skuli ya ST. Francis Maria, ambaye
anapata elimu kwa njia ya kusaidiwa na Uongozi wa Skuli hiyo kutokana
na Mzazi wake hana uwezo wa kumsomesha ,ambaye ni mlemavu wa wa
miguu,huishi kwa kutegemea kuomba misaada kwa Wananchi.Picha na Mdau
Othman Maulid-Zanzibar
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)