MKUTANO NA WAKALA WA WAUZA MAGAZETI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKUTANO NA WAKALA WA WAUZA MAGAZETI

Meneja Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN) inayochapisha magazeti ya Daily News na HABARILEO, Christina Geleja akisisitiza jambo wakati alipokutana na mawakala na wauzaji wa magazeti ya kampuni hiyo mjini Arusha hivi karibuni kwa ajili ya kupeana mikakati na kuboresha usambazaji na uuzaji wa magazeti hayo.Picha na Marc Nkwame

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages