Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma
Kikwete(kulia)akizindua Nembo ya (HMT)kwaajili ya uzinduzi ya Taasisi ya
Hassan Maajar Trust na kuanzisha kampeni ya kusaidia kutokomeza
uhaba wa madawati mashuleni jijini Dar es Salaam leo(kushoto)ni Makamu
Mwenyekiti wa Taasisis hiyo,Shariff Hassan Maajar ,akifuatiwa na
Mwenyekiti wa HMT Balozi Mwanaidi Maajar
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete(kulia)leo
akibadilishana mawazo na Seneta JACKIE WINTERS kutoka
Marekani(kushoto)alipomtembelea ofisini kwake jijii Dae re Salaam.
Baadhi ya wageni walikwa katika hafla hiyo ya uzinduzi.
Wageni waalikwa washiriki katika uzinduzi wa Hassan Maajaar Trust.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Amani DSM,Eliwaza Shirima,akichangia kwenye mkutano.
Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na viongozi.(mwenye
miwani) pamoja na Seneta Jackie Winters (nguo nyeupe) kutoka Marekani
wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha
Western Oregon pamoja na walimu wao wakati walipomtembelea Mwenyekiti
huyo ofisini kwake jijini Dar es Salam leo. Wanafunzi hao wanane
watatembelea Mkoani Arusha katika baadhi ya vijiji vya Masai ambapo
watashiriki katika kazi za kujutolea za shughuli za kijamii.Picha na
Mwanakombo Juma-MAELEZO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)