Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kumbukumbu ya Kigoda cha Mwalimu
Nyerere kinachohusika na masuala ya Mazingira na mabadiliko ya Tabianchi,
kilichozinduliwa leo Julai 11, 2011 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kutangazwa kwa
Mwenyekiti wa kwanza wa Kigoda hicho, Prof.
Pius Yanda

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimpongeza Prof. Pius Yanda, baada ya kutangazwa na kuvishwa Joho la kuwa
Mwenyekiti wa kwanza wa Kigoda cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Mazingira na
Mabadiliko ya Tabianchi, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kigoda hicho uliofanyika
leo Julai 11, 2011 katika ukumbi wa Nkurumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Baadhi
ya Mabalozi wa nchi za nje nchini Tanzania, waliohudhulia hafla hiyo ya uzinduzi
wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere.
Baadhi
ya washiriki katika hafla hiyo ya uzinduzi wa kigoda cha Mwalimu Nyerere.
Baadhi
ya wageni waalikwa na Mabalozi waliohudhuria hafla hiyo ya uzinduzi.
Mkurugenzi na Kiongozi wa Bendi ya Mjomba, Mrisho Mpoto, akiigiza kusafiri na
Ngamia wake, wakati akitoa burudani ya kuimba mbele ya mgeni rasmi Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati wa
hafla ya uzinduzi wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere kilichozinduliwa leo Julai 11,
2011 Chuo Kikuu Dar es Salaam

Wasanii wa Bendi ya Mjomba, wakishambulia jukwaa wakati wakitoa burudani kwenye
hafla ya uzinduzi wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere, uliofanyika leo Julai 11, 2011
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Prof. Amos Majule (kulia) kuhusu vijitabu vya
kumbukumbu, wakati akikagua vitabu hivyo baada ya kuzindua Kigoda cha Mwalimu
Nyerere. Uzinduzi huo ulifanyika leo Julai 11, 2011 Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)