WANAMICHEZO WETU WA KITANZANIA WAKITEMBEZWA NA MAMA ILUNGA NDANI YA JIJI LA ATHENS.
KIKOSI
CHA WANAMICHEZO WA SPEACIL OLYMPIC WAKIWA PAMOJA NA WATANZANIA KATIKA
KUWAPONGEZA KWA USHINDI WAO MKUBWA NA KUITANGAZIA TANZINIA KTK MICHEZO
HII YA WALEMAVU WA AKILI.
KIKOSI KAMILI CHA WANAMICHEZO WALIOWAKILISHA TANZANIA NA KUJICHUKULIA MEDELI KEM KEM HAPA ATHENS WAKIWA PAMOJA NA KASA MUSSA.
HAPA
WAKIWA NA YASSIN A.K.A MKOLA WAKIWAPELEKO KATIKA SEHEMU ZILE MUHIMU
MUHIMU HAWA VIJANA WALIOKUJA KUSHIRIKI MASHINDO YA OLYMPIC.
-----
NI
FURAHA HAIJAWI KUTOKEA KWA WATANZANIA WAISHIO HAPA UGIRIKI BAADA YA
KUONA VIJANA WENYE ULEMAVU WA AKILI NA KUJICHUKULIA MEDEL NYINGI NA
KUITANGANZIA NCHI YA TANZANIA KAMA INAWEZA KWELI KUFANYA KWELI ..!
BAADA YA KUPATA HISTORY YA KIKOSI HICHO NI INASIKITISHA SANA SAFARI NA
JINSI VIJANA HAWO WALIVYOJITUMA KWA USHUJAA WA HALI JUU MNO NA
WANASTAHILI PONGEZI KUBWA SANA ! HAYA LEO HAWA VIJANA WAMEFANYA KWELI
HAPA ATHENS.
MW/MUNGU IBALIKI
TANZANIA IZIDI KUSONGA MBELE KIMICHEZO TUSIWE NYUMA ! EBU CHUKUENI
DAKIKA MOJA TU KUFIKIRI HAWA VIJANA WAMEFANYA KWELI JE? WALIOKUWA
WAZIMA INAKUWAJE KWENYE MASHINDANO KAMA HAYA WANARUDI NYUMBANI HATA
MEDAL MOJA !!!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)