KIFUNGUA KINYWA CHETU CHA LEO::::: MALI YA SERIKALI KWA MATUMIZI BINAFSI . - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KIFUNGUA KINYWA CHETU CHA LEO::::: MALI YA SERIKALI KWA MATUMIZI BINAFSI .

Gari la Serikali likiwa limejazwa magunia ya mkaa hadi pomoni kama lilivyokutwa na mpiga picha wetu  katika eneo la Utaho, kilomita chache nje ya Manispaa ya Singida muda kidogo imepita.tafakari chukua hatua...

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages