Hali
ya bungeni haikuwa shwari mchana wa leo pale mjengoni baada ya Mbunge Kafulila,
kuchafua hali ya hewa kwa kauli yake kuwa Tanzania ni taifa 'omba omba'
kauli iliyomchukiza Mwenyekiti wa kikao hicho aliyemtaka kufuta kauli
yake hiyo kabla ya Waziri wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta, kusimama na
kuchafua zaidi hali ya hewa kwa wapinzani kwa kauli yake kuwa "kazi yao
kupinga na watabaki kuwa wapinzani daima".
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)