WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKITETA JAMBO NA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKITETA JAMBO NA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta jambo na msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa mara baada ya kushuhudia uzindunzi wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano 2011/12-2015/16 ulionziduliwa na Rais ,Jakaya Kikwete katika ukumbi wa mikutano wa St. Gaspar mjini Dodoma jana

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages