UZINDUZI WA MPANGO WA MAENDELEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UZINDUZI WA MPANGO WA MAENDELEO


Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Hussein Mwinyi akijadiliana jambo na Kamishna wa Tume ya Huduma za Bunge na Mbunge wa Mafia Mhe. Abdulkarim Esmail Hassan  Shah wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mpango wa Maendeleo jana mjini Dodoma
Naibu Waziri wa Aridhi na Maendeleo ya Makazi Mhe. Goodluck Ole Medeye akibadilishana mawazo na mdau wa Mpango wa Maendeleo.
Spika Makinda (kushoto) akimsikiliza Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya hapa nchini Balozi Tim Clarke (kulia). Katikati na Mbunge wa Babati Vijijini Mhe. Jitu Vrajlal Soni
Spika Makinda akisalimiana na wadau waliohudhuria uzinduzi huo jana Mjini Dodoma.Picha na Prosper Minja-Bunge

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages