WAZIRI ASHIRIKI ZOEZI LA USAFI WA MAZINNGIRA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI ASHIRIKI ZOEZI LA USAFI WA MAZINNGIRA



Wazir wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akiangalia Uchafu Mtaa wa Toroli Chang'ombe Manispaa ya Temeke Mjini Dar es Salaam wakati aliposhiriki katika zoezi la usafi wa Mazingira Linalofanyika kila siku ya Kwanza ya Mwenzi ambalo ni agizo la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania  Dk Mohammed Gharib Bilali.Picha na Ali Meja

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages