Mwenyekiti wa Boy George Promosheni Yusuph George,
ambao ni waandaji wa shindano la miss Kinondoni akiongea na waandishi wa habari
kuhusiana na maandalizi na kutoa muuongozo kwa warembo waliofanikiwa kuingia
katika kambi hiyo inayoanza rasmi jumatano wiki hii Mzalendo Pub
Makumbusho,kushoto ni Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude,Meneja
wa kinywaji cha redds Victoria Peter.
Mwenyekiti wa Boy George Promosheni Yusuph George,
ambao ni waandaji wa shindano la miss Kinondoni akiongea na waandishi wa habari
kuhusiana na maandalizi na kutoa muuongozo kwa warembo waliofanikiwa kuingia
katika kambi hiyo inayoanza rasmi jumatano wiki hii Mzalendo Pub
Makumbusho,kushoto ni Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude.
Afisa
udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude akiwasalimia baadhi ya warembo
wanaoshiriki miss Kinondoni wakati walipotambulishwa rasmi jana tayari kwa
kuanza kambi yao siku ya jumatano wiki hii Mzalendo Pub Makumbusho jijini Dares
Salaam.
Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude
akiwasalimia baadhi ya warembo wanaoshiriki miss Kinondoni wakati
walipotambulishwa rasmi jana tayari kwa kuanza kambi yao siku ya jumatano wiki
hii Mzalendo Pub Makumbusho jijini Dares Salaam.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)