WANAFUNZI WA SEKONDARI MBEZI KIMARA WAWAANGUSHIA MVUA YA MAWE ASKARI WAKATI WAKIFUNGA BARABARA KWAAJILI YA KUSHINIKIZA SERIKALI KUWEKA MATUTA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WANAFUNZI WA SEKONDARI MBEZI KIMARA WAWAANGUSHIA MVUA YA MAWE ASKARI WAKATI WAKIFUNGA BARABARA KWAAJILI YA KUSHINIKIZA SERIKALI KUWEKA MATUTA

Wanafunzi wa Shule za Secondary Waziba  barabara mbezi ya kimara,kwaajili ya kudai matuta kwa kusema ajali zimezidi,wawangushia mvua ya mawe askari,mwanafunzi ajeruhiwa na risasi,,na sasa wametawanywa na mabomu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages