WANAFUNZI WA MUHIMBILI WAGOMA BAADA YA CHAMA CHAO KUFUTWA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WANAFUNZI WA MUHIMBILI WAGOMA BAADA YA CHAMA CHAO KUFUTWA LEO

 Wanafunzi Wa Chuo Cha Afya na Sayansi shirikish Cha Muhimbili Wagoma na kuandamana hadi wizara ya elimu na Mafunzo Ya Ufundi Stadi Dar es Salaam Kulalamikia Uongozi Wa Chuo Kufuta Chama Chao
 Wanafunzi Wa Muhimbili Wakitawanyika Mara baada ya Kuwasilisha Malalamiko yao Leo katika Wizara ya Elimu Iliyopo Karibu Na Ikulu
 Vijana Wa IGP MWEMA wakiwa tayari kwaajili ya kuwachezesha Gwaride wanafunzi Wa Muhimbili
Kamanda wa Kanda Maalumu Ya Dar Es Salaam Suleiman Kova Akiwataka Wanafunzi Kuvuta Subira Wakati Malalamiko yao Yakiwasilishwa
 Mada ikiwasilishwa hapo
Picha Zote Kwa Hisani Ya Michuzi Blogu.

1 comment:

  1. Anonymous10:08 PM

    Inaonekana Kuwa Kuna Msimu Serikali Au Uongozi Wa Chuo Ndio Huwa Unasababisha KUwepo Na MIgomo Vyuo Vikuu Maana Walianza DUCE Juzi Siku hiyohiyo UDOM wakaendelea na mgomo mpaka sasa na hata kesho unaendelea tena Wakati huo huo Muhimbili Wamegoma Leo Ukiangalia Uongozi Wa Vyuo NA Serikali kupitia TCU au Bodi YA Mikopo ndo huwa sababu wanawachokoza wanazuoni kwasababu kuna wakati hatuwasikii wanchuo kugoma kumbe hao viongozi ni wachokozi Halafu wanachodai wanafunzi wa vyuo vikuu ni vya msingi sana sisi tuliokua mtaani tusiwaone ni wajinga madai yao ni ya msingi sana.

    ReplyDelete

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages