VODACOM TANZANIA YAIWEZESHA EAST AFRICAN BEREUAL KUENDESHA SEMINA CHUO KIKUU TUMAINI TAWI LA DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VODACOM TANZANIA YAIWEZESHA EAST AFRICAN BEREUAL KUENDESHA SEMINA CHUO KIKUU TUMAINI TAWI LA DAR ES SALAAM

Afisa Huduma na bidhaa wa  Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi na Mkurugenzi mtendaji wa Moneytrack Solutions pamoja na wanafunzi wa kitivo cha sheria wa  chuo kikuu cha Tumaini tawi la kurasini,wakifatilia mada  wakati wa semina  maalumu ya kuwaandaa wanafunzi wanaohitimu elimu katika vyuo mbalimbali kwa ajili ya maisha yao  baada ya kuhitimu,mada ililenga kuwapatia elimu ya Biashara,washa hiyo  iliandaliawa na Kampuni ya East Africa Speakers Bureau ya jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

Mkurugenzi mtendaji wa  kampuni  ya inayojihusisha na utengenezaji wa  kadi za kutolea fedha kwenye mabenki (ATM)Richard Kasesela , akitoa mada kwa wanafunzi wa kitivo cha sheria wa  chuo kikuu cha Tumaini tawila kurasini.Jinsi ya  kuwapa uwezo na Morali mara pindi wanapomaliza masomo yao,washa hiyo  iliandaliawa na Kampuni ya East Africa Speakers Bureau ya jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Tumaini tawi la kurasini kitivo cha sheria ,wakifuatilia kwa makini mada  wakati wa semina  maalumu ya kuwaandaa wanafunzi wanao hitimu elimu katika vyuo mbalimbali kwa ajili ya maisha yao  baada ya kuhitimu,mada ililenga kuwapatia elimu ya Biashara,washa hiyo  iliandaliawa na Kampuni ya East Africa Speakers Bureau ya jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages