USIKU WA KHANGA ZA KALE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

USIKU WA KHANGA ZA KALE

Mbunifu wa Mavazi Bi. Asia Idarous wa Fabak Fasion akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na onyesho lake la mavazi ambalo ameshirikiana na na The Kilimanjaro Band (Njenje) liitwalo Usiku Wa Khanga Za Kale 2011 linalotarajiwa kufanyika June 25, 2011 katika ukumbi wa wa Salender Bridge Club jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni mbunifu wa mavazi Gabriel Mollel ambaye ameungana nae na kushoto ni mdhamini Bw. Thomas Kisura wa kampuni ya Vacation Afrika kutoka Marekani.
Mbunifu wa Mavazi Bi. Asia Idarous wa Fabak Fasion akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na onyesho lake la mavazi ambalo ameshirikiana na na 'The Kilimanjaro Band' (Njenje) liitwalo Usiku Wa Khanga Za Kale 2011 linalotarajiwa kufanyika June 25, 2011 katika ukumbi wa wa Salender Bridge Club jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Levis Paul kutoka kampuni ya Vacation Afrika, mbunifu wa mavazi Hiyari Maneno, mbunifu wa mavazi Gymkana Halali, Gabriel Mollel, Thomas Kisura pamoja na mbunifu wa mavazi Royal Mosses kutoka nchini Nigeria.  
Habari kwa hisani ya Habari na matukio Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages