SPIKA ANNE MAKINDA ATEMBELEWA NA BALOZI WA ZAMBIA NCHINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SPIKA ANNE MAKINDA ATEMBELEWA NA BALOZI WA ZAMBIA NCHINI


Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (kulia) akimkaribisha ofisini kwake mjini Dodoma hivi karibuni Balozi wa Zambia nchini Tanzania Mhe. Mavis Lengalenga Kayumba ambaye alimtembelea na kufanya mazungumza na Spika Anne Makinda.

Balozi Kayumba akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kupokelewa na Spika wa Bunge Mh. Anne Makinda hivi karibuni.
Balozi Kayumba akiagana na mwenyeji wake Spika Annea Makinda mara baada ya mazungumzo yao mjini Dodoma hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages