Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Askofu mpya wa Jimbo la Mbinga Mhashamu John Ndimbo
Rais
Jakaya Kikwete akimpongeza Mhashamu Askofu Mpya wa Jimbo la Mbinga
wakati wa ibada ya kumsimika Akofu huyo iliyofanyika jana katika kanisa
la Mtakatifu Kiliani mjini Mbinga.Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)