MAMA SALMA KIKWETE ALIPOKUTANA NA WAFANYAKAZI WA FHI PAMOJA TUWALEE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAMA SALMA KIKWETE ALIPOKUTANA NA WAFANYAKAZI WA FHI PAMOJA TUWALEE


Mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akisalimia na Dk. Jan Raats Mkurugenzi mkazi wa mradi wa FHI pamoja tuwalee wakati mkurugenzi huyo alipozitembelea ofisi za WAMA mwishoni mwa wiki. WAMA kwa kushirikiana na  FHI pamoja tuwalee watafanya kazi kwa  pamoja kwa ajili ya kuwakomboa watoto yatima wa Tanzania
Mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akipokea taarifa ya kuutambulisha mradi wa FHI pamoja tuwalee kutoka kwa Priskila Gobba ambaye ni Mkurugenzi wa mradi huo. WAMA kwa kushirikiana na  FHI pamoja tuwalee watafanya kazi kwa  pamoja kwa ajili ya kuwakomboa watoto yatima wa Tanzania.
Mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete (kushoto)  akisoma taarifa ya kuutambulisha mradi wa FHI pamoja tuwalee. WAMA kwa kushirikiana na  FHI pamoja tuwalee watafanya kazi kwa  pamoja kwa ajili ya kuwakomboa watoto yatima wa Tanzania. Kulia ni Priskila Gobba ambaye ni Mkurugenzi wa mradi huo.
 
Picha Anna Nkinda-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages