Mwenyekiti
wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akiingia kituo cha polisi cha Centre
jijini Dar es Salaam kufuatilia hatma ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wa
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe.
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba,
akizungumza na waandishi wa habari nje ya Kituo cha Polisi cha Centre
jijini Dar es salaam kuhusu sakata la kukamtwa kwa kiongozi wa upinzani
Bungeni, Freeman Mbowe
ambaye bado anashikiliwa na jeshi hilo na akitarajiwa kusafirishwa
kupelekwa Makama ya Mkazi Arusha kujibu shitaka linalomkabiri.
Picha na Blog ya Issa Michuzi Via Sufiani Mafoto
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)