KATIBU
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu wa NEC, Uchumi na
Fedha Nchemba Mwigulu waisaidia kupanda nyasi kwenye utakaokuwa Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Mpanda mkoani Rukwa, jana
Nape
akimtambulisha Mwigulu kwa viongozi wa mkoa wa Tabora walipopita
wakiwa njiani kwenda Dodoma baada ya ziara yake mkoani Rukwa.
Nape
akishiriki kupiga ngoma katika kijiji cha Inyonga, Kata ya Inyonga
wilaya mpya ya Mlele mkoani Rukwa, jana wakati wa mkutano wa mwisho
wa hadhara uliofanyika katika kijiji hicho mwishoni mwa ziara yake
mkoani Rukwa
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)