Wanawake Na Maisha Yao Kwa Ujumla Wake wanakutana na changamoto nyingi Hususani Katika Nchi Yetu Ya Tanzania Na Jamii ziishizo Kijiji
Huyu Ni Mwanamke Ambaye Jina lake halikuweza Kupatikana mara moja Alikutwa Geita na Mdau Wa Lukaza Blog na kuniomba Kuiweka Ili Kuwezesha Watu kuona Kuwa kuna Binadamu Wenzetu Wanaishi Katika Maisha Magumu
Kiukweli Maisha Ni magumu Sana hasa kwa mama zetu waliopo vijijini kwetu wanahitaji sana msaada wetu pamoja na serikali kuwajali na kuhakikisha wanapeleka huduma zote vijijin maana nahisi huyo mama anawapeleka hospitali hao watoto ebu ona jamani...Mungu Awalinde na Kujalia uhai na maisha mazuri
ReplyDeletemaisha magumu jamani serikali inakaa kununua magari ya kifahari wakati huko vijijini kwetu hakuna hata panadol kiukweli wazazi wetu wanapata shida nyingi sana ebu ona huyo mama hapo nadhani anawaoeleka watoto wake hosspital .
ReplyDeleteHayo ndo Maisha Bora Tuliyoahidiwa Tokea 2005 hadi Sasa jamani so tusishangae
ReplyDelete