MVUA YASABABISHA MECHI YA U23 TANZANIA NA NIGERIA KUAHIRISHWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MVUA YASABABISHA MECHI YA U23 TANZANIA NA NIGERIA KUAHIRISHWA

Pichani ni Kikosi cha Watoto wa Julio U-23, kilichowasili Nigeria jana kwa ajili ya mchezo wa marudiano na U-23 Nigeria. Lakini mchezo huo uliokuwa uchezwe majira ya saa 12 jioni kwa saa za nyumbani, umeahirishwa kutokana na Jivua kubwa lililonyesha katika mji huo wa Benin City, ambako ulikuwa uchezwe mchezo huo. Habari kamili kuhusu siku ya mchezo huo wa marudiano bado haijapatikana kutokana na Chama cha Soka cha nchi hiyo kuendelea na kuandaa ratiba mpya ya mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages