MLIMBWENDE WA MKOA WA IRINGA KUPATIKANA USIKU HUU NDANI YA UKUMBI WA HIGHLAND IRINGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MLIMBWENDE WA MKOA WA IRINGA KUPATIKANA USIKU HUU NDANI YA UKUMBI WA HIGHLAND IRINGA

Washiriki Wa Kinyanganyiro Cha Kuwania Urembo Wa Mkoa Wa Iringa Wakiwa Katika Mazoezi Ya Mwisho
Leo ni leo ndani ya ukumbi wa Highland hawa ni baadhi ya washiriki watakao panda jukwaa kuwania kitita cha shilingi 700,000 kwa mshindi wa kwanza na shilingi 500,000 mshindi wa pili na 300,000 wa tatu pia mtandao huu utamtangaza mshindi wake atakayenyakua shilingi 50,000 kutoka katika mtandao huu 
Na Francis Godwin

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages