MKUTANO WA WADAU WA KUJADILI BAJETI WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKUTANO WA WADAU WA KUJADILI BAJETI WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Makini, Peter Mziray akichangia maoni mjadala wa Bajeti ya Serikali ya 20011/2012 iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia (TCD), Dar es Salaam
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM), Ramadhan Madabida akichangia maoni wakati wa mjadala wa Bajeti ya Serikali ya 20011/2012 iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia (TCD), Dar es Salaam
Makamu Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia akiongoza mjadala wa Bajeti ya Serikali ya 20011/2012 iliyoandiliyoandaliwa na Kituo hicho, Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Kituo hicho, Profesa Ibrahim Lipumba akifungua mkutano huo wa mjadala wa bajet.Picha zote na Mdau Richard Mwaikenda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages