MAMA SALMA - WATOTO WENYE VIPAJI MAALUM NI TUZO KWA TAIFA- - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAMA SALMA - WATOTO WENYE VIPAJI MAALUM NI TUZO KWA TAIFA-

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, akipokea maua kutoka kwa mwanafunzi baada ya kuwasili kwenye chuo cha Pusat PERMATA pinter Malaysia kwa ajili ya kutembelea watoto wenye ipaji maalum.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (kushoto) akipokewa na Mke wa Waziri Mkuu wa Malaysia, Datin Paduka Seri Rosmah Mansor,alipowasili katika shule ya Sekondari ya watoto wenye vipaji maaluum cha PUSAT PERMAT apitar huko Patrajaya Malaysia,
KBb Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (mwenye miwani), Mke wa Waziri wa Fedha na Mipango ya Taifa kutoka Zambia (wa kwanza kushoto suti ya cream) Mke wa Makamu wa Rais wa Kenya Pauline Kalonzo (kulia gauni la blue sky) kwa pamoja wakipata maelezo ya utengenezaji vifaa mbalimbali kwa njia ya mfumo wa kutumia teknolojia ya komputa kutoka kwa mwanafunzi KEVIN mwenyekipaji maalum kutoka shule ya sekondar ya watoto yenye vipaji maalumu cha PUSAT PERMAT apitar mjini Patrjaya Malaysia Jana.
Mwenyekiti wa WAMA ambae pia Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (kushoto) akipata maelezo ya utenenezaji mfano wa aina ya ndege kutoka kwa wanafunzi wa Sekondari ya watoto wenyevipaji maalumu cha PUSAT PERMAT, apintar huko Patrajaya Malaysia.
 
Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages