FID Q AFIKISHA KILIO CHAKE KWA GHONJE MATEREGO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

FID Q AFIKISHA KILIO CHAKE KWA GHONJE MATEREGO

Msanii wa Hiphop nchini,Fareed Kubanda aka Fid Q akiwasilisha mada kuhusu Maudhui ya Hiphop na nafasi yake katika Jamii kwenye Jukwaa la Sanaa linalofanyika kila Jumatatu kwenye Ukumbi wa BASATA.Kulia kwake ni Msanii Zavala na Katibu Mtendaji wa BASATA,Ghonche Materego.
Katibu Mtendaji wa BASATA,Bw.Materego akisisitiza jambo wakati akihitimisha Jukwaa la Sanaa linalofanyika kwenye Ukumbi wa Baraza hilo kila wiki.Wengine kutoka kulia ni Msanii Fid Q na Zavala

Kwa Habari Zaidi <<< BOFYA HAPA >>>

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages