MAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MKUTANO WA WADAU CAMFED TANZANIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MKUTANO WA WADAU CAMFED TANZANIA


Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na wadau waliohudhuria katika mkutano huo. 
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akihutubia katika mkutano wa wadau mbali mbali wa  shirika la CAMFEDTanzania, mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Akihitubia katika mkutano huo Mama Salma Kikwete alisema kuwa WAMA ipo tayari kushirikiana na wadau mbali mbali katika kumsaidia mwanamke kiuchumi.  Kushoto ni Kaimu  Mkurugenzi Mtendaji wa CAMFED Tanzania  Msaada Daudi Balula. Shirika la CAMFED Tanzania limejikita katika kutoa huduma zake katika Wilaya kumi za Tanzania ambazoni ni Kibaha,Kilolo ,Iringa Vijijini,Rufiji, Bagamoyo,Morogoro Vijijini, Kilombero, Pangani na Handeni.
Wadau wakiwa katika mkutano huo.Picha na Victor  Makinda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages