Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Asasi isiyo ya Kiserikali
ya Mkoa wa Ruvuma, Methord John, kuhusu uzalishaji wa matofali
yanayochomwa kwa kutumia Makaa yam awe, wakati alipokuwa akitembelea
mabanda ya maonyesho katika sherehe za uzinduzi wa maadhimisho ya siku
ya Mazingira Duniani zilizoanza mjini Songea mkoa wa Ruvuma, kwenye
Uwanja wa Majimaji.
Baadhi
ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Songea (Songea
Girls) wakiwa ni miongoni mwa waliohudhuria sherehe hizo. Baadhi
ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Songea (Songea
Girls) wakiwa ni miongoni mwa waliohudhuria sherehe hizo.Picha Na Muhidin Sufiani - VPO





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)