Sehemu Ya Mbele inavyoonekana Mara Baada ya Basi La Abood Kupinduka Na Kusababisha Majeruhi Zaidi Ya 13 Hapo Jana

Basi La Abood Likiwa Upande mara baada Ya Kupinduka Na Kusababisha Majeruhi
 |
| MOJA YA WATOTO WALIYONUSULIKA KATIKA AJALI HIYO JANA MAJIRA YA SAA 1.30 USIKU BASI LA ABOOD LILILOKUA LIKITOKA DSM KUELEKEA MBEYA |
 |
| BAADHI YA ABILIA WAKIPATA MATIBABU KATIKA HOSPITAL YA RUFAA MBEYA |
Mmoja Wa Majeruhi Akipata Matibabu Mara baada ya Kunusurika Na Ajali
 |
| Basi La Kampuni Ya Abood Likiwa Limepinduka |
 |
| MOJA YA ROLI LILILOSABABISHA KUTOKEA AJALI HIYO YA BASI LA ABOOD KUPINDUKA |
Moja ya Lori Lililosababisha Ajali Nalo likiwa Limepinduka
Picha Kwa Hisani Ya Mbeya Yetu Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)