TAARIFA KWA WANAFUNZI WOTE WA MWAKA WA TATU CHUO CHA SANAA
NA SAYANSI ZA JAMII; CHUO KIKUU CHA DODOMA
NA SAYANSI ZA JAMII; CHUO KIKUU CHA DODOMA
WANAFUNZI WOTE WA MWAKA WA TATU CHUO CHA SANAA NA SAYANSI ZA JAMII
WALIOSIMAMISHWA MASOMO WANAJULISHWA KWAMBA WANATAKIWA KURIPOTI
CHUONI SIKU YA JUMAMOSI TAREHE O2/07/2011 SAA 4 (NNE) ASUBUHI ISIPOKUWA
WANAFUNZI WAFUATAO:
WALIOSIMAMISHWA MASOMO WANAJULISHWA KWAMBA WANATAKIWA KURIPOTI
CHUONI SIKU YA JUMAMOSI TAREHE O2/07/2011 SAA 4 (NNE) ASUBUHI ISIPOKUWA
WANAFUNZI WAFUATAO:
(A)WALE AMBAO WANADAIWA ADA, GHARAMA ZA MALAZI, MITIHANI NA
GHARAMA NYINGINE
GHARAMA NYINGINE
(B) HAWA 15 WALIOTAJWA HAPA CHINI AMBAO WATAPEWA TAARIFA ZAO
BINAFSI NA MAMLAKA HUSIKA
NA
.BINAFSI NA MAMLAKA HUSIKA
NA
JINA KAMILI JINSI NAMBA YA USAJILI KOZI
1 TINDO, Salumu M T/UDOM/2008/01362 BAPSPA
2 TAIRO, Edwin D. M T/UDOM/2008/04784 BBA
3 NGAIZA, Paschal M T/UDOM/2008/02895 BAPSPA
4 MESSO, Baraka M T/UDOM/2008/03807 BAPSPA
5 MELCHIORY, Very M T/UDOM/2008/03588 BAIR
6 EMMANUEL, Vincent M T/UDOM/2008/02698 BADS
7 BONIFACE, Alfred M T/UDOM/2008/03692 BASO
8 MUSHI, Alex N M T/UDOM/2008/07514 BCOMACC
9 MSANGI, Geofrey M T/UDOM/2008/05990 BAEC
10 JULIUS, Samora Mnyonga M T/UDOM/2008/04493 BAPPM&CD
11 BARADYANA, Romano M T/UDOM/2008/02768 BAPSPA
12 GOODNESS, Moses F T/UDOM/2008/04482 BAPPM&CD
13 SELEMAN,Bakari(KATANGA) M T/UDOM/2008/02854 BAPSPA
14 ALLY, Hassan M T/UDOM/2008/02842 BAPSPA
15 SHAABAN, Mustafa M T/UDOM/2008/07456 BAEC&ST
KWA TAARIFA HII WANAJULISHWA KUWA USAJILI UTAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 02/07/2011 NA JUMAPILI TAREHE 03/07/2011 TU. KILA MWANAFUNZI ANATAKIWA KUJA NA NAKALA HALISI ZA VITHIBITISHO VYA MALIPO YA ADA NA GHARAMA NYINGINE AMBAZO ALIKUWA AKIDAIWA. MWANAFUNZI AMBAYE HATATIMIZA MASHARTI HAYA HATAPOKELEWA CHUONI. MITIHANI ITAANZA JUMATATU TAREHE 04/07/2011 ASUBUHI SEHEMU MAALUM YA MAPOKEZI NA USAJILI ITAKUWA KWENYE KIWANJA CHA MPIRA WA MIGUU KILICHOPO MITA MIA MBILI KUTOKA OFISI ZA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DODOMA (DUWASA), MKABALA NA ZINAPOJENGWA OFISI ZA BENKI KUU YA TANZANIA
IMETOLEWA NA OFISI YA MAKAM MKUU WA CHUO
CHUO KIKUU CHA DODOMA
CHUO KIKUU CHA DODOMA
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)