Waziri
wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo akiwa nje ya ukumbi wa Bunge la
Tanzania mara baada ya kuharishwa kwa kikao cha kwanza cha mkutano wa
nne wa Bunge ulianza jana mjini Dodoma. Waziri huyo anatarajiwa kuwasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2011/2011 leo
Spika
wa Bunge la Tanzania Anne Makinda akiwasili katika ukumbi wa Bunge jana
mjini Dodoma tayari kwa ajili ya kuendesha kikao cha kwanza cha mkutano
wa nne wa Bunge la Tanzania ulioanza leo mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiteta jambo nje ya viwanja vya Bunge mjini
Dodoma na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga(Walemavu) Mh. Al.Shaymaa
Kwegyir mara baada ya kutoka kwenye kipindi cha maswali na majibu kwenye mkutano
wa nne wa Bunge la Bajeti ya mwaka wa fedha 2011/2012.Kesho ni siku ya
kusomwa kwa Bajeti ya Serikali.
Baadhi
ya wabunge wa Tanzania wakifuatilia kwa makini kipindi cha maswali na
majibu jana mjini Dodoma wakati wa kuanza kwa kikao cha kwanza cha
Mkutano wa Nne wa Bunge la Tanzania mjini Dodoma
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)