Katibu
mkuu wa wizara ya Afya ustawi wa jamii Bi. Blandina Nyoni akiongea na
waandishi wa habari ofisini kwake jana jijini Dar es salaam juu ya
upatikanaji wa dawa mseto za kutibu ugonjwa wa malaria kwa gharama
nafuu katika sekta binafsi tanzania bara lengo kuu ni kuhakikisha kuwa
wananchi wote hapa nchini wanapata tiba sahihi ya malaria kwa gharama
nafuu.Picha na Philemon Solomon
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)