KIJANA ATUPWA MTONI BAADA YA KUUAWA NA WASIOJULIKANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KIJANA ATUPWA MTONI BAADA YA KUUAWA NA WASIOJULIKANA

Mwili wa marehemu ukitolewa katika Mto Ngerengere eneo la daraja la Mbuyuni kata ya Kihonda mkoani hapa.

KIJANA Moja ambaye hajafahamika jina lake wala sehemu anayoishi  ameuawa kikatili na watu wasiojulikana na baadaye wauaji hao kuutupa  mwili wake katika Mto Ngerengere eneo la daraja la Mbuyuni kata ya Kihonda mkoani hapa.

Akizungumza na mtandao huu, mwenyekiti wa serikali za mitaa wa Mbuyuni, Ramdhani Hamis Mpoto, alisema kwamba alipokea taarifa toka kwa wananchi wanaolima mboga mboga pembezoni mwa mto huo kwamba kulikuwa na mtu amekufa eneo hilo la daraja.
 
Kwa Habari Zaidi  <<< BOFYA HAPA >>>
 
Credits: Dustan Shekidele, Morogoro/Global Publisher Tanzania

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages