JK AZINDUA MPANGO WA MAENDELEO WA MIAKA MITANO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JK AZINDUA MPANGO WA MAENDELEO WA MIAKA MITANO

Rais Jakaya Kikwete (katikati) akishiriki kuimba wimbo wa Tanzania, Tanzania nakupenda, mjini Dodoma kabla ya kutoa taarifa kwa umma kuhusu kukamilika kwa rasimu ya mpango wa maendeleo wa miaka mitano ( 2011/12 - 2015/16) . Wengine ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) na kushoto ni Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akilihutubia taifa leo mjini Dodoma kabla ya kutoa taarifa kwa umma kuhusu kukamilika kwa rasimu ya mpango wa maendeleo wa miaka mitano ( 2011/12 - 2015/16) . Wengine ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) na kushoto ni Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda. 
 
(PICHA NA TIGANYA VINCENT-MAELEZO)
 
Habari kwa hisani ya Issa Michuzi Via Mbeya Yetu Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages