HALI ILIVYOKUA JANA UDOM MARA BAADA YA WANAFUNZI KUPEWA MASAA 8 WASIONEKANE CHUONI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HALI ILIVYOKUA JANA UDOM MARA BAADA YA WANAFUNZI KUPEWA MASAA 8 WASIONEKANE CHUONI

Hapo ni mbele ya bweni namba nne ambalo linakaliwa na madada tu hali ilikua mbaya pale ambapo wadada wengi walikua na mabegi mengi hali ambayo ilibidi waite taksi kwa haraka ili kusudi muda ukifika wasiwepo chuoni hapo. Na Chuo Kimefungwa Kwa Muda Usiojulikana Kutokana Na Mgomo uliodumu kwa siku tatu mfululizo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages